Wafanya biashara wengi wameanza kutambua na hivyo kufanya juhudi za kusaidia jamii kupitia uwajibikaji kwenye jamii kwa kupitia wafanyakazi wake an kwa sasa Tanzania sekta hii inakuja juu kwa kasi sana na Duniani kwa ujumla na hivyo kuleta utofauti chanya kwenye jamii.

Ingawa, hii inaweza kuwa ngumu kupata asasi zisizo za Kiserikali kuweza kusaidia wafanya biashara hawa kuleta mabadiliko katika jamii kupitia mchango wa hawa wadau.

Inaweza kuwa ngumu pia kupata mdau au asasi inayoweza kuendana na malengo ya wafanyakazi wako ili waweze kujitolea kufanya usaidizi kwenye maeneo yenye ujuzi wao.

Mara kampuni inapopata asasi ya kufanya nayo kazi, ugumu wa kusimamia msaada waliotoa kwenye jamii na kuona au kuhakikisha ruzuku walizotoa zinatekeleza yale yaliyodhamiriwa kufanywa.

Tunawezaje kusaidia?

Mtandao waq Molly husaidia kutoa msaada kwa mashirika na makampuni binafsi kuona malengo yao ya kusaidia jamii yanatimia:

  1. Kuunganisha mashirika na makampuni mbalimbali na wanachama wake ambao wamefikia vigezoour-assessed-members/accredited-members/.  Tunayashauri mashirika mbalimbali juu ya mashirika yepi ya kufanya nayo kazi moja kwa mojaWe.  Mtandao wa Molly's umeyafanyia uhakiki mashirika haya kabla ya kuyapendekeza kwenye mashirika mbalimbali. Na tunayo furaha kutoa maelezo ya kina juu ya wanachama wetu.
  2. Kusaidia makampuni kuweza kuona mafanikio ya kluwekeza ruzuku zao kupitia Mtandao wa Molly's kwa kyajengea uwezo asasi hizi zisizo za Kiserikali, Mtandao wa Molly's inayo orodha ya asasi zilizo bora 'zilizo karibia kwa juu' na 'Asasi zenye uwezo wa kati: Asasi ambazo zimekwa zikifanya kazi muhimu kwa ufanisi, lakini asasi hizi zinahitaji baadhi ya maeneo yafanyiwe kazi ili kufikia uwezo wa juu kabisa.organisations.  makampuni mbalimbali yamekuwa wakisaidiana na Mtandao wa Molly's kujengea uwezo asasi hizi kujiboresha. na huchukua jukumu la kusimamia ruzuku hizi wakati wa kutekeleza miradi mbalimbali.
  3. Kutambua asasi ambazo zinapatikana karibu na makampuni haya, kuyafanyia uhakiki na kuyashauri makampuni mbalimbali  njia sahihi za kuhakikisha ruzuku hizo zinatumika ipasavyo. Tunapofanya hivi huwakilisha mashirika mbalimbali kwa wafanyakazi wa makampuni haya ili wachague asasi ipi wafanye nayo kazi.
  4. Kusimamia mipango mikakati iliyopo katika makampuni mbalimbali na kutathmini miradi mbalimbali iliyona inayofanyika. Pia tunafanya tathmini na uhakiki wa miradi mbalimbali kupitia wataalamu mbalimbali ili kuhakikisha malengo yanafikiwa.
  5. Kutengeneza mpango mkakati wa jinsi ya makampni yanavyoweza kuwajibika na kusaidia jamii. Tunaweza kusaidia makampuni katika kutengeneza mpango mkakati wa jinsi gani wanaweza kusaidia jamii na katika hali ambayo inaendana na malengo ya Taifa pamoja na kuendana na mipango mkakati wa jamii hsika.
  6. kuingia ubia na wafanyakazi wa makampuni haya ili wafanyakazi wao wenye fani mbalimbali kuweza ksaidia kujengea uwezo asasi hizi. Mtandao wa Molly's unatafuta mashirika yenye nia hii ili kuleta ufanisi wa kazi za asasi hizi.