Mtandao wa ni mahususi kwa ajili ya Asasi zisizo za Kiserikali na ambazo zimesajiliwa hapa Tanzania na ili uwe mwanachama ni sharti Asasi iwe imesajiliwa.

Tumeanzishwa kusaidia Asasi hizi kufanya kazi wa weledi na ufanisi wa hali ya juu. 

 

Ni Kipi Hupata Asasi za Daraja La Kwanza?

Asasi za daraja la juu ni Asasi ambazo zinafanya kazi kwa weledi mkubwa na ufanisi mkubwa na kutokana na viwango vyetu ni Asasi kama hizi ndiyo hupata daraja la juu kabisa, Unaweza kupata yale tunayohitaji zaidi kutoka kwa Asasi za daraja hili la juu. bofya hapa.  

Tunatoa huduma zifuatazo kwa wanachama wetu wa daraja la juu, katika kufanya mchakato wa uhakiki hatua huchukuliwa kwa Asasi za daraja la juu huweza kuzipata:

  • Kuzitangaza Asasi zote za daraja la juu kwa wafadhili na wadau mbalimbali.
  • Fursa ya kutumia nembo ya Mtandao wa Molly's kwenye miradi na nyaraka mbalimbali za miradi wanayoitekeleza katika maeneo.
  • Taarifa kwa ufupi ambayo unaweza kuwapatia hata wafadhili wako, taarifa hii fupi inaelezea kwa ufupi kwanini umekuwa Asasi ya daraja la juu na pia tunatoa taarifa kuhusiana na nguvu na udhaifu mdogo wa Asasi husika.
  • Uelewa wa madhaifu na uwezo wa Asasi husika na jinsi ya kuyafanyia kazi madhaifu hayo.
  • fursa ya kupitia kwenye Tovuti ya Mtandao wa Molly's hii ni kwa wanachama tu ambao hupata fursa ya kuchangia na kujifunza.
  • Mialiko mbalimbali ya wanachama kwenye mikutano ya mtandao.
  •  kubwa ziidi kwa Mtandao ni kusaidia Asasi hizi kupata wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya Nchi.

Tunawezaje kujiunga na Mtandao wa Molly's?

At Molly’s Network we are absolutely committed to ensuring we are able to provide the support we promise to our members.  This means that sometimes we have a waiting list of organisations that want to be assessed, but we will always respond to let you know when we will be able to conduct your assessment.

The accreditation scheme and membership of Molly’s Network is currently completely free to local non-profit organisations, and the potential benefits can be huge.

Before you decide to join, we recommend you read our Assessment and Member Organisation policy, which will help give more information on the process.

Hatua ya kwanza kabla ya kujiunga ni kujaza fomu hii tuma maombi ya moja kwa moja.  Tunasubiri kwa hamu kusikia toka kwako!